BALOZI WA URUSI UN AFARIKI DUNIA (http://mtanzania.co.tz/balozi-wa-urusi-un-afariki-dunia/)

BALOZI wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vitaly Churkin, amefariki dunia ghafla akiwa kazini mjini hapa juzi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imethibitisha kifo cha Churkin, ambaye...

Russia celebrates the Diplomat's Day. (The Guardian, 10/02/2017)

 February 1962. A group of Soviet diplomats arrived in Dar es Salaam to meet Dr. Julius Nyerere, the man who had a few months earlier become head of state of the newly emerged nation. This...

Mantra kuanza uzalishaji urani (http://khalfansaid.blogspot.com/, 19.10.2016)

Mantra kuanza uzalishaji urani (http://khalfansaid.blogspot.com/, 19.10.2016)   Makamu wa Rais wa Operesheni za Kampuni ya Uranium one, Andrey Shutov, akizungumzia uchimbaji...

Urusi yajitoa ICC

Urusi imesema kwamba inaondoa rasmi saini yake kutoka kwenye sheria inayounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC, siku moja baada ya mahakama hiyo kuchapisha ripoti inayokishutumu...

Putin aushangaa undumilakuwili wa Marekani (Zanzibar leo, 09.08.2016)

MOSCOW, Urusi Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema baadhi уа nсhi ulimwengini zimeugawa ugaidi katika makundi mazuri nа makundi mаbауа kwa maslahi уа kisiasa. Rais wa Urusi alisema...

Mji wa Palmyra wakombolewa kwa msaada wa Urusi (Deutsche Welle)

Mji wa Palmyra umekombolewa na majeshi ya serikali ya Syria. Ni jambo linaloonekana dhahiri sasa. Magaidi wanaojiita dola la kiislamu wanarudi nyuma. Mji wa Palmyra maarufu kwa turathi za kale...