Urusi kufukuza wanadiplomasia 755 wa Marekani

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameagiza kuondolewa wanadiplomasia na wafanyakazi 755 wa Marekani waliopo nchini humo na anafikiria kuchukua hatua za nyongeza kulipiza kisasi kwa vikwazo vya uchumi ilivyowekewa nchini hiyo. Putin alisema jana katika mahojiano ya moja kwa moja kwenye televisheni ya taifa kwamba aliagiza hatua hizo kwa sababu “alifikiri ulikuwa wakati wa kuonyesha kwamba hawawezi kubaki bila kujibu mapigo." Utekelezwaji wa agizo la usitishwaji shughuli za...

Putin amruka Donald Trump (Nipashe, Jumamosi Juni 3, 2017)

  Moscow, Russia   RAIS wa Russia, Vladimir Putin, amemruka kiongozi mwenzake wa Marekani, Donald Trump, juu ya madai ya kuwa na uhusiano na washirika wake kama taifa.  Kutokana na kauli ya Putin aliyoitoa juzi, hali inayoonyesha kuwa sakata la kisiasa linaloendelea Marekani linazidisha wingu nene na jeusi juu ya mustakabali wa Trump ndani ya uongozi wake.  Putin ametoa kauli hiyo huku kukiwa na taarifa za waliokuwa wasaidizi wa Trump wakati.  Pamoja...

BALOZI WA URUSI UN AFARIKI DUNIA (http://mtanzania.co.tz/balozi-wa-urusi-un-afariki-dunia/)

BALOZI wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vitaly Churkin, amefariki dunia ghafla akiwa kazini mjini hapa juzi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imethibitisha kifo cha Churkin, ambaye angetimiza miaka 65 jana, ingawa chanzo chake bado hakijabainika. Churkin amehudumu kama balozi wa Urusi katika UN tangu 2006 ambako alijizolea sifa kama mtetezi wa dhati wa sera za nchi yake. Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ameeleza kusikitishwa na kifo cha balozi huyo aliyemtaja kuwa na...

Russia celebrates the Diplomat's Day. (The Guardian, 10/02/2017)

 February 1962. A group of Soviet diplomats arrived in Dar es Salaam to meet Dr. Julius Nyerere, the man who had a few months earlier become head of state of the newly emerged nation. This visit would lead to the exchange of embassies between the Soviet Union and the then Tanganyika destined to soon become one of the largest countries of the African continent, the United Republic of Tanzania.  December 2016 marked the 55th anniversary of the establishment of bilateral...

TANZANIA URUSI ZABADALISHANA UZOEFU WA KUDHIBITI UHALIFU (Friday, September 02, 2016, https://issamichuzi.blogspot.com/2016/09/tanzania-urusi-zabadalishana-uzoefu-wa.html)

TANZANIA URUSI ZABADALISHANA UZOEFU WA KUDHIBITI UHALIFU   Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa kwanza kushoto), akizungumza wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kudhibiti uhalifu kati ya Tanzania na Urusi.Kulia ni wataalamu wa masuala ya kudhibiti uhalifu kutoka Wizara ya Ulinzi nchini Urusi.Kikao hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara, Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja...

Urusi yajitoa ICC

Urusi imesema kwamba inaondoa rasmi saini yake kutoka kwenye sheria inayounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC, siku moja baada ya mahakama hiyo kuchapisha ripoti inayokishutumu kitendo cha nchi hiyo kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine kuwa ni cha kimabavu. Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imetoa tangazo siku ya Jumatano kwa amri ya Rais Vladimir Putin, ikisema kwamba mahakama hiyo imeshindwa kufikia matazamio ya jumuiya ya kimataifa na kushutumu kazi za mahakama...

Mantra kuanza uzalishaji urani (http://khalfansaid.blogspot.com/, 19.10.2016)

Mantra kuanza uzalishaji urani (http://khalfansaid.blogspot.com/, 19.10.2016)   Makamu wa Rais wa Operesheni za Kampuni ya Uranium one, Andrey   Shutov, akizungumzia uchimbaji wa madini ya Urani katika Mradi wa Mkuju, Ruvuma. Wengine ni Makamu wa Rais wa    Maendeleo ya   Kimataifa wa kampuni   hiyo, Vladimir Hlavinka na Mkurugenzi Mtendaji wa Mantra Tanzania, Frederick Kibodya. UCHIMBAJI wa madini ya Uranium unatarajiwa kuanza rasmi...

Putin aushangaa undumilakuwili wa Marekani (Zanzibar leo, 09.08.2016)

MOSCOW, Urusi Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema baadhi уа nсhi ulimwengini zimeugawa ugaidi katika makundi mazuri nа makundi mаbауа kwa maslahi уа kisiasa. Rais wa Urusi alisema hayo katika mahojiano nа shirika la habari la Azertac la Azerbaijan па kuongeza kuwa, ni jambo lisilokubalika nа la hatari mno lа kuyagawa makundi уа kigaidi katika sehemu mbili, magaidi wazuri nа magaidi wabaya. "Ni undumakuwili kuyatumia baadhi уа makundi уа kigaidi kusukuma maslahi уа kisiasa...

Mji wa Palmyra wakombolewa kwa msaada wa Urusi (Deutsche Welle)

Mji wa Palmyra umekombolewa na majeshi ya serikali ya Syria. Ni jambo linaloonekana dhahiri sasa. Magaidi wanaojiita dola la kiislamu wanarudi nyuma. Mji wa Palmyra maarufu kwa turathi za kale sasa umo tena katika mikono ya serikali. Ni ishara muhimu, lakini pia kijeshi ni hatua ya manufaa. Sasa majeshi ya Rais Bashar al-Assad yanaweza kusonga mbele hadi kwenye kitovu cha magaidi wa "dola la kiislamu" katika mji wa Raqqa. Kutokana na ushindi wa majeshi ya Assad katika mji wa Palmyra...